Dk Kimangale anakiri amewahi kutibu wagonjwa wa akili waliotokana na kubeti kupitia wale waliofanikiwa kubadili tabia ingawa kuna walioshindwa kukamilisha matibabu yao, hivyo hawezi kusema kwa sasa wanaendeleaje. “Ugomvi kwenye familia hii ulikuwa hauishi. Chanzo ni tabia ya mwanamume kubeti, kucheza kamari na kuvuta bangi hadi kusahau kuhudum